<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><title>MBELE NINAENDELEA</title>
<lyrics>[V1]
 1. Mbele ninaendelea ninazidi, kutembea
 maombi uyasikie, Ee Bwana unipandishe.
 Ee Bwana uniinue, Kwa imani nisimame,
 Nipande milima yote, Ee Bwana unipandishe.

[V2]
 2. Sina tamani nikae, mahali, pa shaka kamwe,
 Hapo wengi wanakaa, kuendelea naomba

[V3]
 3. Nisikae duniani, ni mahali pa shetani,
 Natazamia mbinguni, aitafika kwa imani

[V4]
 4. Nataka nipandishwe, juu zaidi yale mawingu,
 Nitaomba nifikishe, Ee Bwana unipandishe.</lyrics>
</song>